Nichape Love song kutoka kwa Z Anto video inamuonesha aliekuwa mke wake wa ndoa Sandra Khan (Binti kiziwi ) baad ya kutoka kutumikia kifungo Nchini China,Nichape inazungumzia Mwanaume alimpa nafasi Mpenzi na kumpa ridhaa juu ya Maisha yao. Audio imetengenezwa na BLAZA Video imefanyika Tanzania chini ya Kwetu Studios. Instagram : @z_antoofficial Facebook : Anto Malavdav Twiter : zantoofficial