Wimbo mpya wa Alikiba DODO na Hamisa Mobetto ndani.

‘Mfalme’ wa muziki Tanzania ALIKIBA ameachia mkwaju mpya, unaitwa DODO. Kama kawaida ya King huyo toka Kariakoo, Dodo ni dodo kweli, yaani audio kali na tayari video yake ipo YouTube kwenye channel ya KINGS MUSIC.

Kwenye ngoma hiyo ‘video vixen’ ni HAMISA MOBETTO. Hebu tujadili performance ya Hamissa kwenye video hii.

Similar Posts:

Author: Admin Boss

Leave a Reply

Your email address will not be published.